Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nick Minaj na mumewe kulipa Mabilioni kwa kumshambulia mlinzi

Sub Buzz 753 1711245221 1.jpeg Nick Minaj na mumewe kulipa Mabilioni kwa kumshambulia mlinzi

Sun, 24 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mamlaka za kisheria zimewataka rapa Nick Minaj na mumewe Kenneth Petty kumlipa $5000 (sawa na zaidi ya Bilioni 1.2 za Tanzania) mmoja wa walinzi waliowashtaki kwa kuwashambulia mwaka 2019, Weiden Muller kama fidia ya udhalilishaji.

Mamlaka za kisheria zimewataka rapa Nick Minaj na mumewe Kenneth Petty kumlipa $5000 (sawa na zaidi ya Bilioni 1.2 za Tanzania) mmoja wa walinzi waliowashtaki kwa kuwashambulia mwaka 2019, Weiden Muller kama fidia ya udhalilishaji. Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ Nick Minaj na mumewe walifanya kosa hilo nchini Ujerumani mwaka 2019 na sasa wanalazimika kulipa mabilioni hayo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live