Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nick Minaj na Meghan waingia katika bifu zito

Megan Thee Stallion Nicki Minaj Nick Minaj na Meghan waingia katika bifu zito

Mon, 29 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa muziki kutoka nchini Marekani Nick Minaj na Megan Thee Stallion wameingia kwenye bifu zito baada ya Nicki kufanya mzaha kuhusu mama yake Megani aliyefariki miaka sita iliyopita.

Kwa mujibu wa TMZ News inaelezwa kuwa mzozo huo ulianza wakiwa kwenye ‘platform Stationhead Friday’ baada ya wawili hao kupishana kauli ambapo Nicki alimwambia Megan bora aende akamchanganye mama yake na amuombe msamaha kaburini.

Ikumbukwe kuwa mama Megan alifariki kwa saratani ya ubongo mwaka 2019.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live