Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nick Minaj amkimbia Lil Wayne Novemba 17

Wayne X Minaj Nick Minaj amkimbia Lil Wayne Novemba 17

Wed, 25 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rapa Nicki Minaj "Barbie" ametangaza kubadilisha tarehe ya kuachia Album yake mpya ya 'Pink Friday 2' ili kuipisha Project mpya ya Lil Wayne na 2 Chainz 'Welcome 2 Collegrove' ambayo wataiachia Novemba 17.

Awali Album hiyo ya Nicki Minaj na Lil Wayne ziliingiliana tarehe za kuachiwa kwake ambao wote walipanga kutoa Novemba 17.

Nicki Minaj anasema amebadilisha tarehe hiyo ya kuachia Album kwa sababu anamuheshimu sana Lil Wayne kimuziki na kamwe hawezi kupanga siku 1 ya kuingiliana kutoa kazi zao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live