Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nick Minaj adokeza ujio wa Albamu mpya

Nicki Minaj Cr Marcelo Cantu 2022 Billboard 1548 Rapa kutoka Marekani, Nicki Minaj

Thu, 11 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nicki Minaj kuja na mfumo wa namba 5. Ni miaka mitano imepita tangu aachie Album yake ya Nne (QUEEN) ambayo ilitoka mwaka 2018.

Nicki Minaj kuja na mfumo wa namba 5. Ni miaka mitano imepita tangu aachie Album yake ya Nne (QUEEN) ambayo ilitoka mwaka 2018. Jana amedokeza juu ya ujio wa Album yake mpya ambayo itakuwa ya Tano (NM5) kwenye mfululizo wa Album zake, amesema itatoka mwaka huu 2023.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live