Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nick Minaj aachiliwa na Polisi

Nicki Minaj Kuwaandikia  Nyimbo Wasanii Wengine Nick Minaj

Sun, 26 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki Nick Minaj ameachiliwa na Jeshi la Polisi Uholanzi mara baada ya kukamatwa na Bangi uwanja wa ndege wa Amsterdam, Uholanzi.

Nicki Minaj baada ya kukamatwa alidai kwamba hahusiki na bangi hizo, bali ni mali za walinzi wake.

Nicki Minaj alishikiliwa kwa masaa kadhaa, akatozwa faini kisha akaruhusiwa kuendelea na safari.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live