Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ni mfatiliaji wa series za Power? Good news ikufikie kutoka kwa 50 Cent

210 GettyImages 693938982 1 1 TZW

Fri, 15 Dec 2017 Chanzo: bongo5.com

Rapper kutoka Marekani, 50 Cent amefunga mwaka 2017 kwa kusaini mikataba minono na kampuni ya Starz inayorusha tamthilia yake ya ‘Power’.

Mikataba hiyo imehusisha project zake kama ‘Black Family Mafia’ aliyotangaza mapema mwanzoni mwa mwaka na project zingine ni ‘Tomorrow’ na ‘Today’ ambazo zitaonekana katika kituo cha Starz.

Inaelezwa kuwa rapper huyo amesaini dili hilo kwa kuhusisha jumla ya projectz nane ambazo zigine hajazitaja kwa sasa ila baadaye zitatajwa. Kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram 50 alitoa taarifa hiyo iliyoandikwa na mtandao wa TMZ na kisha yeye kuandika.

Still think I’m NOTHING

Chanzo: bongo5.com