Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nguo zangu nanunua nje ya nchi - Lunya

Young Lunya Boxer Nguo zangu nanunua nje ya nchi - Lunya

Sun, 3 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rapa Young Lunya anasema nguo zake nyingi ananunua nchi za nje kwa sababu anasafiri sana pia Bongo kuna uhaba wa kupata nguo na viatu Original.

Rapa Young Lunya anasema nguo zake nyingi ananunua nchi za nje kwa sababu anasafiri sana pia Bongo kuna uhaba wa kupata nguo na viatu Original. Young Lunya ameongeza kusema anapenda sana Fashion na mwakani mashabiki zake wategemee kumuona kwenye shows za kimataifa zinahusu suala zima la Fashion na Lifestyle.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live