Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ngoma ya Diamond yapendekezwa kuwania Tuzo za Grammy

Diamond Kellerman Diamond Platnumz na Wouter Kellerman.

Wed, 18 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kwa mujibu wa jarida la billboard ngoma ya Pounds and Dollars ya Diamond Platnumz ft Wouter Kellerman ni miongoni mwa ngoma zilizopendekezwa kuchaguliwa kuwania tuzo za Grammy 2024 (Grammy consideration) kwenye kipengele cha Best African Music performance.

Ikumbukwe Wouter Kellerman alichaguliwa kuwania tuzo hizo mwaka huu 2023 na kushinda kwenye kipengele cha Best Global Music Performance kupitia wimbo wa Bayethe alioshirikiana na Zakes Bantwini pamoja na Nomcebo Zikode.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live