Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ngoma ya Davido yaweka rekodi hii..!

Davido Wa Nigeria Achunguzwa Kuhusu Madai Ya Vitisho Dhidi Ya Tiwa Davido

Wed, 19 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtandao wa Spotify umetangaza “Champion Sound” ya Mwanamuziki kutoka Nigeria, David Adeleke (Davido) aliomshirikisha Lethabo Sebetso (Focalistic) wa Afrika Kusini ndio Wimbo wa Amapiano ulioongoza kwa kusikilizwa zaidi katika mtandao huo

Spotify ilitoa tangazo hilo Juni 16, 2024, ikiwa ni siku ya Vijana ya Afrika Kusini, ambayo inaadhimishwa kusherehekea Vijana wa taifa hilo na harakati zao za Uhuru na Haki

Wimbo wa “Champion Sound” ulitoka mwaka 2021.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live