Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ngoma 20 zitakazokuwepo kwenye album mpya ya Harmonize

Screenshot 2021 10 27 At 12.png Hatimaye! Teacher Konde is coming

Wed, 27 Oct 2021 Chanzo: SNS

Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya kuiona tracklist ya album mpya ya msanii Harmonize atakayoiachia Ijumaa ya wiki ijayo, Novemba 5.

Boss huyo wa kondegang ambaye kwasasa yupo nchini Marekani, ameachia orodha yenye jumla ya nyimbo 20 sambamba na cover la album hiyo. Kupitia listi hiyo, kolabo ni SITA pekee.

1. Sorry 2. Outside 3. Serious Love 4. Always 5. Why Ft. Sarkodie 6. Turn Up 7. Mtaje 8. Usia 9. Dunia 10. Mdomo Ft. Ibraah 11. Influencer 12. Mood Ft. Naira Marley 13. Single 14. What Do You Miss Ft. Anjella 15. I cant Stop 16. One Question 17. Sandakalawe Ft. Busiswa 18. Muziki 19. Kamaliza Ft. Sholo Mwamba 20. Teacher

Amewapa shavu wasanii wageni kama rapa Sarkodie toka Ghana, Naira Marley toka Nigeria na Busiswa toka Afrika Kusini. Kwa Bongo wapo wakali kama Anjella, Sholo Mwamba na Ibraah ambao wanaikamilisha orodha ya kolabo kwenye album hiyo.

Hii itakuwa ni album ya PILI kutoka kwa Harmonize ikiifuata “Afro East” iliyotoka mwezi Machi mwaka 2020, ambayo ni miongoni mwa album kumi bora katika mtandao wa BOOMPLAY Afrika Mashariki.

Chanzo: SNS