Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ney wa Mitego, Mavoko waja na jambo lao

Nay X Mavoko Ney wa Mitego, Mavoko waja na jambo lao

Tue, 7 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki wa Hip-Hop Nay Wa Mitego na RichMvoko, wanatarajia kuachia ngoma yao hivi karibuni, itakayoenda kwa jina la Sio Wewe,

Nay amedhihirisha ujio wa ngpma hiyo kupitia ukurasa wake wa Instagram, baada ya ku-post picha kiwa pamoja na Rich na kuisindikiza kwa ujumbe usomekao

"RaisWaKitaa Na Mess Wa BongoFlavour Rich Mavoko Now Ni Time Kuwarusha Kaeni Tayari Watu Wangu Sio Wewe".

Ujio wa ngoma hiyo utakuwa unawarudisha mashabiki wa Rich kupata kile walichokuwa wanakikosa kwa mda mrefu kutoka kwa msanii huyo kwani tangu aachie ngoma ni miezi kumi na moja sasa imepita, huku kwa upande wa Nay aliachia wimbo uitwao 'Mamlaka' wiki tatu zilizopita

Chanzo: www.tanzaniaweb.live