Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nenga ataka mambo ya Ashura kwa Nandy

Nandy Billnass Nandy na Billnas

Thu, 26 May 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bilnass au Nenga; ni rapa mkali Bongo na mchumba wa malkia wa Bongo Fleva, Nandy The African Princess ambaye amemtaka mrembo wake huyo amfanyie mambo ya Ashura wa Tabata; yule mwanamke aliyemfungia ndani Diwani wa Kawe, Mutta Rwakatare tangu Februari, mwaka huu.

Bilnass au Nenga; ni rapa mkali Bongo na mchumba wa malkia wa Bongo Fleva, Nandy The African Princess ambaye amemtaka mrembo wake huyo amfanyie mambo ya Ashura wa Tabata; yule mwanamke aliyemfungia ndani Diwani wa Kawe, Mutta Rwakatare tangu Februari, mwaka huu. Sasa; Nenga na Nandy wamepita na upepo huo ambapo rapa huyo ameposti picha yao wawili wakiwa kwenye ndege na kuandika; “Diwani akiwa na Ashura…Maeneo ya Tabata Baracuda….Jamani nisitafutwe mpaka mwakani…”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live