Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nedy amshushia Mjengo mama yake

AAA Nedy amshushia Mjengo mama yake

Mon, 12 Jul 2021 Chanzo: eatv.tv

Ni headlines za 'Fine boy' mpemba mmoja Nedy Music baada ya kutuonyeshea mjengo unaoelekea kumalizika ambao amemjengea mama yake mzazi uliopo Majohe, Ilala Jijini Dar es Salaam.

Submitted by Shaluwa Anta on Jumatatu , 12th Jul , 2021 Picha ya mjengo wa Nedy Music aliomjengea mama yake

Nedy Music ameshea picha ya mjengo huo kupitia ukurasa wake wa Instagram kisha akaandika.

"Alhamdulillah kidogo for my mom, soon pakimalizika watu wa Majohe mjiandae nawaletea Mama wa kipemba huko kwenu sasa, nabadili taswira ya Mama nyumbani, kama unawasaidia wazazi wako na familia kwa kile kidogo ulichobarikiwa, Mifuko yako ibarikiwe na isikauke kamwe"

Baadhi ya wasanii wengine ambao wamewajengea wazazi wao nyumba ni Nandy, Dogo Janja, Diamond, na Izzo Bizness.

Chanzo: eatv.tv