Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ndoa ya mtangazaji Marekani yakalia kuti kavu

Ndoa Ya Mtangazaji Marekani Yakalia Kuti Kavu Ndoa ya mtangazaji Marekani yakalia kuti kavu

Mon, 9 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mume wa mtangazaji kutoka nchini Marekani #MiaThornton , Gordon Thornton mwenye umri wa miaka 70 amedai kuwa mkewe alikubali kuolewa naye kwa sababu ya pesa.

Mume wa mtangazaji kutoka nchini Marekani #MiaThornton , Gordon Thornton mwenye umri wa miaka 70 amedai kuwa mkewe alikubali kuolewa naye kwa sababu ya pesa. Gordon ameeleza kuwa Mia alikubali kufunga naye ndoa kwa sababu aliona atavuna mali siku za mbeleni lakini kwa kuwa mambo yake yameanza kwenda vibaya mke wake huyo ametaka wavunje ndoa yao kwa kuachana.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live