Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ndoa ya Rambo kuvunjika

Rambo Na Mke.jpeg Ndoa ya Rambo kuvunjika

Thu, 25 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Moja kati ya taarifa kubwa iliyozua gumza kwenye mitandao ya kijamii ni kuhusiana na Muigizaji Mkongwe wa Filamu Sylvester Stallone maarufu Rambo na mkewe wanadaiwa kuachana.

Mke wa Rambo Jennifer Flavin amewasilisha kesi ya talaka baada ya miaka 25 ya ndoa yao.

Imeelezwa kuwa Moja ya Sababu zinazotajwa kuwa huwenda zikawa ndio chanzo kikubwa cha Ndoa hiyo kuvunjika ni Mkali huyo wa Filamu kutokuweka Wazi baadhi ya Mali ndani ya Ndoa jambo ambalo limesababisha hali ya Kiuchumi kuwa mbaya katika Familia yao.

Hata hivyo Baadhi ya Mashabiki walianza kuhisi kutokuwa na Maelewano mazuri katika Ndoa hiyo baada ya Staa huyo wa Filamu Duniani Kuchora mchoro mwingine wa picha ya Mbwa wake Mpya juu ya Picha ya Mke wake aliokuwa Ameichora katika Mkono wake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live