Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

"Ndoa sio mbaya ubaya tunao wanandoa" - Billnass

Nenga Web Billnass na Nandy

Tue, 8 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii Billnass ameshea 'Experience' yake kuhusu suala zima la ndoa kwa kusema ndoa sio mbaya na haina shida yoyote kwa mastaa bali ubaya wanao wanandoa wenyewe. 

Msanii Billnass ameshea 'Experience' yake kuhusu suala zima la ndoa kwa kusema ndoa sio mbaya na haina shida yoyote kwa mastaa bali ubaya wanao wanandoa wenyewe.  Billnass na mkewe Nandy walifunga ndoa miezi mitatu iliyopita na ndoa inasemekana imeweka historia ya kutumia bajeti kubwa kuliko ndoa za mastaa wengine Bongo. 

Chanzo: www.tanzaniaweb.live