Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

SIL

Nchi tano za Afrika unazoweza kupata Mke mwaminifu

Ethiopian Girls Nchi tano za Afrika unazoweza kupata Mke mwaminifu

Fri, 22 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

1. Ethiopia - Ukimuona mwanamke wa Ethiopia kwa mara ya kwanza, lazima mapigo ya moyo yaende mbio, wameumbika kiasili bila msaada wa Mloganzila na wenye ukarimu.

2. Kenya - Moja ya nchi ambazo unapaswa kuoa ni Kenya, wanawake wa Kenya wanavutia sana pia wanajua kumjali mwanaume.

3. Somalia - Wanawake wengi wa Kisomali huwajibika kulea watoto, heshima na uaminifu kwa wanaume ndio sifa yao kubwa kwa wanawake wa Somalia.

4. Tanzania - Wanawake wa Tanzania ni watulivu, wavumilivu, wenye moyo wa utafutaji, huzingatia mila na tamaduni, ukioa mke Mtanzania basi ujue wastani wa kupata watoto ni wanne na kuendelea.

5. Congo - Unapoanzisha uhusiano na mwanamke wa Kicongo, ni muhimu kukumbuka kuwa wana mawazo tofauti kabisa na wanawake wa Ulaya.

Je una maoni gani katika hili, Tuachie ujumbe wako

Chanzo: www.tanzaniaweb.live