Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Nchi 10 zenye maisha bora mwaka 2023

Miji 10 Nchi 10 zenye maisha bora mwaka 2023

Wed, 13 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Katika kumaaliza mwaka U.S. News imetoa ripoti ya nchi zilizo na maisha bora zaidi kwa mwaka 2023, kwa kuangalia vigezo vya usalama wa huduma ya afya, uthabiti wa kiuchumi na elimu.

Katika kumaaliza mwaka U.S. News imetoa ripoti ya nchi zilizo na maisha bora zaidi kwa mwaka 2023, kwa kuangalia vigezo vya usalama wa huduma ya afya, uthabiti wa kiuchumi na elimu. Kati ya nchi zilizotajwa kwenye kumi bora ni Sweden, Norway, Canada,Denmark , Finland, Switzerland, Netherlands, Australia, Germany, New Zealand

Chanzo: www.tanzaniaweb.live