Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nay wa Mitego naye akabidhiwa mwongozo na Basata

Nay Wa Mitego Naye Akabidhiwa Mwongozo Na Basata Nay wa Mitego naye akabidhiwa mwongozo na Basata

Wed, 15 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya wasanii mbalimbali kujitokeza Baraza la Sanaa Taifa, (BASATA) kufuata muongozo wa maadili katika kazi ya Sanaa msanii Nay wa Mitego naye amefika katika ofisi za uwanja wa Benjamin Mkapa na kuchukua muongozo.

Baada ya wasanii mbalimbali kujitokeza Baraza la Sanaa Taifa, (BASATA) kufuata muongozo wa maadili katika kazi ya Sanaa msanii Nay wa Mitego naye amefika katika ofisi za uwanja wa Benjamin Mkapa na kuchukua muongozo. Kupitia ukurasa wa Instagram wa BASATA wame-share picha ya msanii huyo akikabidhiwa muongozo huo na Naibu Waziri Wizara ya Sanaa, Mwana Fa jana Novemba 14, 2023 katika ofisi zilizopo Uwanja wa Benjamin Mkapa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live