Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nay wa Mitego awalipua Diamond na Jux

Diamond Jux Nay(3) Nay wa Mitego awalipua DIamond na Jux.

Mon, 17 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ikiwa ni saa chache baada ya mastaa wa Bongo Fleva, Juma Jux na Diamond Platnumz kufanya house party usiku wa kuamkia jana, Nay wa Mitego ameibuka na kutoa kauli tata kwa mastaa hao.

Kupitia Insta Stori yake, Nay ameandika ujumbe huu; "Kama demu wako alikuwepo kwenye house party jana, bro huna demu hapo, hilo ni ngadu kama mangadu mengine ya mjini," amesema Nay wa Mitego.

Party hiyo ambayo imekuwa gumzo mitandaoni ilihudhuriwa na Mastaa kibao wa Bongo wakiwem Baba Levo, Whozu, Rommy Jones, Jux na mastaa wengine sambamba na warembo wa kutosha.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live