Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nay wa Mitego: Naimba kwa ajili ya walala hoi, mama anapata tabu sana

Nay Wa Mitego Sauti Ya Watu VD Nay wa Mitego

Tue, 8 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Raisi wa Kitaa, Mtetezi wa Wanyonge kama ambavyo anapenda kujiita rapa @naytrueboytz ameamua kuweka wazi namna Mama yake mzazi anavyopata shida kufuatia misukosuko anayoipitia hasa kukiwa na taarifa za kutafutwa na Polisi.

Nay ameaomba mashabiki wake wamuombee Mama yake hasa katika nyakati kama hizi. Pia alaani wanaompelekea taarifa kama hizo Mama yake.

"Nafanya Kwa Ajili Ya Walala Hoi Wenzangu Wasio Na Pakusemea, Ambao Naamini Bila Wao Nisingekua #NAYWAMITEGO Uyu. But Shida Kubwa Anapata Mama Yangu Haswa Akisikia Misukosuko Ninayo Pitia Nikitoa Nyimbo Za Hivi (Sauti Ya Mtaa) Mara Polisi Sijui Natafutwa. Wanao Mpelekea Taarifa Sasa Dah, Pray For My Mom" - Ameandika @naytrueboytz kupitia instance story yake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live