Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nay amchana Mkuu wa Mkoa "Hamtaki kuambiwa ukweli"

Nay X Chalamila Nay ampa neno hili Mkuu wa Mkoa

Wed, 9 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya mkuu wa mkoa wa Dar Albert Chalamila kumwambia msanii Nay wamitego kuwa anachonganisha serikali na Wananchi kupitia nyimbo zake, msanii huyo wa bongo amemjibu mkuu huyo wa mkoa kwa kumwambia..

Baada ya mkuu wa mkoa wa Dar Albert Chalamila kumwambia msanii Nay wamitego kuwa anachonganisha serikali na Wananchi kupitia nyimbo zake, msanii huyo wa bongo amemjibu mkuu huyo wa mkoa kwa kumwambia.. "Nakosa neno la kujibu my brother mkuu wa mkoa wa Dar, but niseme tu hakuna cha uchochezi nilichoimba kwenye wimbo #Amkeni Ni vile tu hampendi kuambiwa ukweli"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live