Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Navy Kenzo waomba radhi kisa mavazi

Navy Kenzo 1234.jpeg Navy Kenzo

Wed, 14 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kundi la muziki la Navy Kenzo limeomba radhi kufuatia kadhia iliyotolewa na mavazi ya wacheza show wao kwenye jukwaa la Fiesta jijini Dar es salaam, Dec 03, 2022.

Kundi la muziki la Navy Kenzo limeomba radhi kufuatia kadhia iliyotolewa na mavazi ya wacheza show wao kwenye jukwaa la Fiesta jijini Dar es salaam, Dec 03, 2022. "Tunaahidi kutoruhusu kadhia hiyo itokee tena, pia kuboresha mavazi kwa kufuata Utamaduni wetu pamoja na miongozo ya mamlaka ya Serikali" - Inasomeka sehemu ya taarifa hiyo kwa Umma iliyotolewa na uongozi wa kundi la muziki la Navy Kenzo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live