Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Navy Kenzo waibuka na albam mpya

NAVY KENZOO Navy Kenzo waibuka na albam mpya

Thu, 9 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kundi la muziki Bongo, Navy Kenzo wameachia album yao mpya iitwayo Most People Want This.

Album hiyo ina jumla ya ngoma 12, Kama "Hold On" Ft Fireboy (Nigeria), Manzese, TooLong, Tonight N.k.

Wawili hao mbali na kufanya muziki pamoja, pia ni wapenzi wa muda mrefu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live