Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Natongozwa sana - Barnaba Classic

Barnaba WA0106 Barnaba Classic na mkewe.

Tue, 21 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mopao Barnaba Classic ameiambia eNewz ya East Africa TV kuwa baada ya kufunga ndoa na mke wake Raya The Boss anapata vishawishi vingi vya kufuatwa sana na wanawake wakimtongoza wawe katika mahusiano.

"Baada ya kuingia kwenye ndoa napata vishawishi vingi sana kwa sasa kabla sijaoa, natongozwa sana na wanawake na sipendi kukashifu wanawake.

"Mianya ya kuchepuka ni mingi sana tofauti na wakati ambao hatukuwa kwenye ndoa, lakini namshukuru Mungu nimelelewa kwenye hekima, nafahamu maadili ninamheshimu sana mwenzangu na yeye ananiheshimu na stala inahitajika sana," amesema barnaba.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live