Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

“Natamani niache hii kazi niishi maisha mengine” -SNURA

1222 Screen Shot 2018 01 06 At 11.10.09 PM 660x400.png TZW

Sun, 7 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Leo January 6,2018 staa wa muziki kutokea Bongo Snura amepost picha katika mtandao wake wa Instagram na kuandika caption ambayo baaadhi ya mashabiki wameitafsiri tofauti na wengi kuhisi labda akataka kuacha kazi ya muziki na kuokoka.

  Snura ameandika “kuna muda natamani niache hii kazi niishi maisha mengine kabisa” AyoTV imeongea na Snura kwa njia ya simu na kumuuliza kuhusiana na ishu hiyo na yeye amekiri kuwa amejisikia tu kuandika maneno yale lakini muziki ni kazi yake hawezi kuiacha.

Ulipitwa na hii??“Nafurahia nilichokifanya”-JACQULINE WOLPER

Chanzo: millardayo.com