Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nataka Mwanaume aliyenizidi umri - Kim Kardashian

Kim Kardashian .jpeg Kim Kardashian.

Thu, 19 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamitindo na mfanyabiashara maarufu duniani Kim Kardashian amesema anahitaji kuwa kwenye mahusiano na mwanaume ambaye amemzidi umri kwa sababu anavutiwa nao.

Kim Kardashian mwenye watoto wanne na rapa Kanye West 'YE' amesema anataka mwanaume kuanzia miaka 40 na kuendelea.

"Nahitaji mtu aliyenizidi umri kidogo ambao utanifaa. Nahitaji umri kama kuanzia miaka 40."

Mahusiano ya mwisho ya Kim Kardashian alikuwa na mchekeshaji na muigizaji wa Marekani Pete Davidson ambaye ana miaka 29.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live