Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nasty atua Bongo kupiga shoo

Nasty 0009 Nasty atua Bongo kupiga shoo

Fri, 1 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rapper mahiri wa South Africa, Nsikayesizwe Ngcobo tayari yupo ndani ya Jiji la Chalamila kwa ajili ya show moja matratra iliyopangwa kufanyika leo usiku kwenye ukumbi wa The Super Dorme Masaki, Dar es salaam.

Wabongo watafaidika na huduma yake kwenye stage leo kupitia show iliyoandaliwa na STR8UP VIBES na kupewa jina la ‘SINCERELY’ ambapo Wakali wengine wataofanya yao kwa level za grade ‘a’ ni Mmiliki wa hit song ya ‘I don’t care’ Darassa na Mkali wa Nigeria BNXN.

STR8UP VIBES wameendeleza jadi yao ya kugawa burudani timilifu ambapo hii itakuwa show yao ya 6 kuifanya ndani ya mwaka 2023 ambapo kwa miaka hiyo 9 wamehusika kuleta Mastaa kama Burna Boy, Omarion, Ayra Starr, Adekunle Gold, Mr. Eazi, Omah Lay, Joe Boy, Tekno, Kizz Daniel na wengine.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live