Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Naseeb Jr akabidhiwa rasmi Wasafi

Naseeb Jr.jpeg Naseeb Jr akabidhiwa rasmi Wasafi

Mon, 26 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Hatimaye mtoto wa Supastaa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ambaye alizaa na mrembo kutoka Kenya, Tanasha Donna, Naseeb Jr amekabidhiwa rasmi Usafini.

Kutoka kwenye ukurasa wa instagram wa mama wa mwanamuziki Diamond Platnumz @mama_dangote anaandika.

Mr. Tom kaka mdogo leo namkabidhi kijiti cha wasafi ????Mimi mwenyewe.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live