Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Naroga sana ili mambo yaende-Jike Shupa

Jike Shupa Naroga sana ili mambo yaende-Jike Shupa

Thu, 1 Sep 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mrembo muuza sura kwenye video za wasanii, Jike Shupa amekiri kuwa anaroga sana kwa mganga ili mambo yake yaweze kwenda vizuri.

Jike Shupa ameyasema hayo juzikati alipkuwa akihojiwa kwenye kipindi cha Lavidavi na mtangazaji Diva ambapo alimuuliza maswali mbalimbali likaiwemo hilo la kwenda kwa waganga.

“Nikiona sielewi lazima nimpigie karumanzira wangu, ananiambia tuma hela ya nazi, tuma hela ya mbuzi natuma ananirekebishia.

“Nakwenda kuroga kwa ajili ya maisha yangu mambo yangu yaende. Nalipa kodi karibu milioni mbili na laki tano Masaki. Nabusti ili maisha yaende,” alisema Jike Shupa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live