Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

"Naomba ukanifungulie, nateseka" - Nuh Mziwanda

Nh Nuh Mziwanda

Thu, 10 Mar 2022 Chanzo: eatv.tv

Ni kama Nuh Mziwanda ameamua kutupa jiwe gizani baada ya kutoa dukuduku lake moyoni kwa kuomba afunguliwe alipofungwa kwa sababu anateseka na familia inamtegemea.

Kwenye page yake ya Instagram Nuh Mziwanda ameandika kwamba

"Sipendi bifu wala ugomvi ndio mana napenda sana amani na kuongea ukweli wa Moyo wangu bila kujali mtu mwingine atanichukulia vipi, ila ukiona unataka amani na bado mtu ana vita ya kukudidimiza ujue unaelekea kwenye unyonge na kuonewa huruma kama Ukraine".

"Naomba kanifungue niwe free tena kama zamani, usinifungie nateseka sana nina familia yangu inanitegemea na sihitaji mapenzi na wewe nahitaji ukanifungue tu".

Chanzo: eatv.tv