Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nani katisha Mapoz

Mapoz Blue Diamond Jay Melody Nani katisha Mapoz

Fri, 26 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mapozi ni wimbo wa Mr Blue ambao ulitoka miaka 16 iliyopita, chini ya kiwanda cha G.Records zilipozalishwa hit kibao.

Kwa usiku wa jana tumeshuhudia muunganiko mwingine wa uliyoweka wakali wa tatu kwenye ngoma moja iliyopewa jina la MAPOZ.

Lakini hapa umiliki unakwenda kwa Diamond Platnumz akimshirikisha Mr Blue na Jay Melody ubishi ni mkubwa mtaani kwa sasa ni kuhusu verse ya nani ndiyo imefunika zaidi kati ya Diamond Platnumz, Nyani mzee ‘’Mr Blue’’ na Jay wa Melody.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live