Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nandy kushusha balaa lingine kesho

Nandy Picture Nandy kushusha balaa lingine kesho

Thu, 1 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kutoka kwa Staa wa Muziki wa Bongo Fleva Faustina Charles 'Nandy' ametangaza kuwa Siku ya Ijumaa ya Juni 02, 2023 ataachia Ngoma yake ya RAHA.

Nandy anaachia wimbo huo ikiwa ni takriban siku 12 tu zimepita tangu aachie ngoma yako nyingine inayokwenda kwa jina la Falling.

Falling ambayo ameachia video yake, tayari huko mjini You Tube imetazamwa na wafuasi milioni 1.4.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live