Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nandy alivujisha sauti nimchane Zuchu-Mwijaku

NANDY KUTUMWA Nandy alivujisha sauti nimchane Zuchu-Mwijaku

Wed, 10 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtangazaji asiyeishiwa vituko Bongo, Mwijaku, amesema ana wasiwasi mtu wa kwanza kuvujisha sauti ya mazungumzo yake na Nandy alikuwa ni bibie huyo mwenyewe.

Hivi karibuni ilivuja sauti ya iliyosemekana ni ya mazungumzo kati ya Mwijaku na Nandy ambapo msanii huyo alikuwa akimtaka Mwijaku amchafue Zuchu lakini mwenyewe anasema alikataa kufanya hivyo.

“Mimi nilikataa unajua wakati ule alikuwa Zuchu alikuwa anapambana na Angela wa Konde Gang nikamwambia hapana, akasema sijui kiasi Fulani nakupa nikamwambia hapana.

“Atakuwa kauivujisha Nandy mwenyewe kaivujisha ili apate mshindani. Mimi simuamini yule mtoto,” alisema Mwijaku.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live