Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nandy afunguka kufanya kolabo na Usher Raymond

Nandy Afunguka Kufanya Kolabo Na Usher Raymond Nandy afunguka kufanya kolabo na Usher Raymond

Mon, 19 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mrembo kutoka kwenye Bongo Fleva, Faustina Charles Mfinanga 'Nandy' amesema, Watanzania wasubiri kwani huwenda akashusha remix ya Dah ambayo ndani yake atasikika staa kutoka Marekani, Usher Raymond.

Nandy ametoa kauli hiyo mara baada ya kuulizwa na waandishi wa habari baada ya kushea mawasiliano yake na Usher waliyowasiliana kupitia mtandao wa kijamii.

"Wasubiri tu wataona kolabo ikitoka, nilishea yale mawasiliano sababu ya ule mshtuko wa msanii mkubwa kuwasiliana na mimi," alisema na Nandy.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live