Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nandy aeleza hali yake baada ya kuanguka jukwaani

Nandy Picture Nandy aeleza hali yake baada ya kuanguka jukwaani

Tue, 2 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki @officialnandy amewatoa hofu mashabiki zake baada ya kudondoka jukwaani usiku wa juzi kwenye show ya @marioo_tz.

Mwanamuziki @officialnandy amewatoa hofu mashabiki zake baada ya kudondoka jukwaani usiku wa juzi kwenye show ya @marioo_tz. Nandy anasema kuwa sababu ya kudondoka ilitokana na kuchoka. Kwa sasa Nandy anaendelea vizuri na ameatakia heri ya Mwaka mpya mashabiki zake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live