Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nandy: Zaylissa aliupenda sana wimbo wangu

Nandy Picture Nandy.

Wed, 10 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii Nandy amefunguka sababu za yeye kushinda milioni 50 iliyotolewa na Hajis Manara kwa ajili ya wasanii kutunga nyimbo ya Zai wa Buga itakayo tumika siku ya tukio lake la trh 18 mwezi huu.

Nandy amesema kuwa kitu cha kwanza kilichomfanya ashinde challenge hiyo ni mpenzi wa Manara, Zaiylissa kuupenda wimbo huu siku ya kwanza alivyoisikia.

"Nilivyoandika tu huu wimbo wangu nilimtumia Zaiylissa aliupenda sana kiasi cha kusema hatamani nibadilishe chochote kwenye wimbo huu baada ya hapo alimtumia Manara ndiyo ikawa balaa kabisa," alisema Nandy.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live