Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nandy: Safari yetu inahitimishwa na Mungu

Nandy Na Bill.jpeg Nandy na Billnas

Thu, 7 Jul 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nandy au Nandera; ni malkia wa Bongo Fleva ambaye amemuandikia mchumba wake, Billnass au Nenga ujumbe mzito kuelekea siku muhimu ya ndoa yao ambayo inatafanyika Jumamosi ya wiki ijayo Julai 16, 2022.

Nandy au Nandera; ni malkia wa Bongo Fleva ambaye amemuandikia mchumba wake, Billnass au Nenga ujumbe mzito kuelekea siku muhimu ya ndoa yao ambayo inatafanyika Jumamosi ya wiki ijayo Julai 16, 2022. Nandy anasema; “Nikiangalia kumbukumbu zetu nalia tu, Aaaaaaarg bwana me nimekubali tunapendana huu mwezi safari yetu inahitimishwa na Mungu na ikawe kheri nakupenda mwenzio…”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live