Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nameless atua Tanzania, Kuinogesha DAR leo Nov 5, 2021

34443333 640x400 Nameless atua Tanzania, Kuinogesha DAR leo Nov 5, 2021

Fri, 5 Nov 2021 Chanzo: millardayo.com

NI Mkali kutokea Nchini Kenya, Nameless ambae time hii ameshawasili Dar es Salaam kwaajili ya kuwaimbia Watanzania.

Mkali huyo ameshapokelewa na mwenyeji wake Ambwene Yessaya, na leo anatarajiwa kutoa burudani katika chimbo liitwalo Havoc Masaki Dar es Salaam.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Nameless™ (@namelesskenya)

Miongoni mwa collabo zilizofanya vizuri na zinaendelea kuchukua vinywa vya habari ni hii akiwa na mkali Darassa itwayo PAH.

Chanzo: millardayo.com