Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Namba za Drake ni habari nyingine

Skynews Drake Euphoria Angus Cloud 6236865 Drake

Mon, 11 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Historia mpya Imewekwa na Drake ya kuwa msanii wa kwanza ya kufikisha jumla ya Numbers (streams) zaidi ya bilioni 90 katika mtandao wakusikiliza muziki wa Spotify.

Historia mpya Imewekwa na Drake ya kuwa msanii wa kwanza ya kufikisha jumla ya Numbers (streams) zaidi ya bilioni 90 katika mtandao wakusikiliza muziki wa Spotify. Hii Haitakua Mara ya kwanza kwake sababu aliwahi kuwa msanii wa kwanza kupata streams Bilioni 50 na Bilioni 75 katika mtandao huo huo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live