Menu ›
Burudani
Sun, 4 Dec 2022
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Mrembo maarufu ambaye ni muuza nyago kwenye video za Bongo, Aisha Feuzy amewaacha watu hoi baada ya kutaja gharama zake za maisha kwa mwezi kuwa za kiwango cha juu kuliko watu wanavyomdhania.
"Nyumbani kwangu kwa mwezi nalipa kodi milioni saba, kwa mwaka ni milioni 84, siwezi kujiogesha naogeshwa na wafanyakazi maalumu ambao nawalipa milioni tano kila wanaponiogesha," amesema Aisha Feruzy.
Aidha mrembo huyo ambaye ni video vixsen ameiambia Global TV Online kwamba hawezi kufananishwa na Uwoya, Wolper wala Gigy money, kwani hao ni wazee wa miaka 40 wakati yeye ni mtoto mteke wa miaka 21 pekee.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live