Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nai amkana Moni Centrozone 'sijawahi kutoka naye'

Moni Na Nai Nai amkana Moni Centrozone 'sijawahi kutoka naye'

Thu, 24 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mrembo Nai amefunguka kuwa hajawahi kutoka kimapenzi na Rapa Moni Centrozone ila ilikuwa kiki tu kwa kipindi chote ambacho wamekuwa karibu.

Akizungumza na televisheni ya mtandaoni, Nai amesema hajaachwa na mwanaume yeyote na kwamba kwa sasa ameamua kuwa peke yake.

"Moni hajawahi kuwa mpenzi wangu zaidi ilikuwa ni biashara tu, mimi nimemua kusiamam kwenye bishara tu na sio mapenzi kwa sasa," alisema Nai.

Inaaminika wawili hao walikuwa na mahusinao ya kimapenzi kwa muda lakini Nai ndio hivyo kamkataa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live