Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

"Nahitaji kijana wa Arusha anaevutia kama Usher Raymond" Lady Jaydee

Jideyy+pic "Nahitaji kijana wa Arusha anaevutia kama Usher Raymond" Lady Jaydee

Tue, 4 May 2021 Chanzo: millardayo.com

Lady Jaydee anahitaji kijana mwenye muonekano kama wa msanii wa RnB kutoka nchini Marekani Usher Raymond ili awepo kwenye video ya wimbo wake mpya.

Jaydee ameeleza kuvutiwa na mwanaume mwenye muonekano kama wa Usher Raymond pia ndio aina ya wanaume ambao anawapenda.

“Nakuja Arusha jamani, nikifika huko na-shoot video kabisa lakini nahitaji msaada wenu, nahitaji kijana anaevutia kama Usher ndio awepo kwenye video yangu maana wanaume wa hivyo ndio ‘type’ napenda, kwa hiyo hebu tisheni tuone watu wa Arusha” Lady Jaydee kupitia ukurasa wake wa Instagram.

Chanzo: millardayo.com