Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

“Nafurahia nilichokifanya”-JACQULINE WOLPER

1218 Screen Shot 2018 01 06 At 7.29.21 PM 596x400.png TZW

Sun, 7 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Leo January 6, 2016 Staa wa Bongo movie Jacquline Wolper siku chache zilizopita amekuwa akipost vitu kupitia mitandao yake ya kijamii  kuhusiana na kuvalishwa pete ya uchumba na kuolewa na mwanaume ambaye wengi hawamfahamu.

Kupitia mtandao wa snapchat pamoja na instagram Jacquline Wolper amepost picha ambazo zinaashiria kuwa ameshaolewa kutokana na captions alizoziandika na moja ya captions ameandika “Masaa yaliyopita namshukuru Mungu”

Kupitia ukurasa  wa instagram wa Jacquline Wolper ameandika   “Nafurahia nilichokifanya” . Kutokana na alichokiandika Jacquline Wolper kupitia mitandao hiyo hajathibitisha kama ameolewa kwa dini ya kiislamu au kikristo.

AUDIO:Je Diamond Platnumz ana mpango wa kuanzisha hili Tanzania?

Chanzo: millardayo.com