Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nadia: Ninaongoza wa mkwanja Africa Mashariki

Nadia Mukami Nadia Mukami.

Tue, 19 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

African Pop Star, Nadia Mukami kutoka Kenya bado ameendelea kutamba kusema yeye ndio msanii pekee wa kike mwenye pesa zaidi Africa Mashariki.

African Pop Star, Nadia Mukami kutoka Kenya bado ameendelea kutamba kusema yeye ndio msanii pekee wa kike mwenye pesa zaidi Africa Mashariki. Akipiga story kupitia show ya The Cruise ya East Africa Radio Nadia Mukami anasema anajiamini kusema hivyo kwa sababu ya mali na utajiri wake, uwekezaji, biashara na shows anazofanya kwa mwezi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live