Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Nadia Mukami, Arrow Bwoy watengana

Arrow Bwoy Nadia Mu6116156c986d3 Nadia Mukami, Arrow Bwoy watengana

Sat, 10 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Malkia wa muziki wa Kenya Nadia Mukami amethibitisha kutengana na mwanamuziki mwenzake Arrow Bwoy.

Katika taarifa ambayo aliichapisha kwenye ukurasa wake wa Instagram, Nadia alibainisha kuwa yeye na mzazi huyo mwenzake hawajakuwa pamoja kwa muda mrefu sasa.

Alikiri kuwa ameshindwa kabisa kuendelea kudanganya kuhusu uhusiano wao kwa watu wengi ambao hawakuwa na ufahamu kuhusu kutengana kwao.

“Ili tu kuwafafanulia watu wanaojaribu kubook mimi na Arrow Bwoy, nimeishiwa na uwongo. Hatujakuwa pamoja kwa muda, tuliachana," Nadia Mukami aliandika kwenye Instastory yake siku ya Alhamisi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live