Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

“Nabii Tito namfahamu kabla haja-trend mitandaoni”- MC Pilipili

1967 Pjimage9 660x400

Fri, 26 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Baada ya ku-trend habari za ‘Nabii Tito’ ambaye kwa sasa anashikiliwa na Jeshi la Polisi, mchekeshaji staa Bongo MC Pilipili amezungumza na kusema kuwa anamjua ‘Nabii Tito’ kabla hata hajaanza ku-trend kwenye mitandao.

Akiongea na AyoTV na millardayo.com, MC Pilipili amesema anamfahamu ‘Nabii Tito’ toka akiwa Dodoma alikuwa anapita pita katika bar akihubiri masuala hayo..

“Kuona mtu anahubiri huku ameshika kilevi najiuliza ule ujasiri anatoa wapi, sijui kwa nini jamii haikuweza ku-react, mimi nilikuwa nakutana naye kwenye bar kibao Dodoma naye anaaingia anasisitiza kuwa pombe ni fresh,”-MC Pilipili

DUH!! VIFAA VINASHUSHWA WASAFI FM

Chanzo: millardayo.com