Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

‘Nabembea ya Ditto ni wimbo bora utaishi miaka mingi’ – AY

2105 Pjimage12 660x400

Mon, 29 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Mkongwe kutoka kwenye game ya Bongofleva Ambwene Yesaya maarufu kama AY ameamua kuweka hisia zake hadharani leo January 27, 2018 kuhusu wimbo wa msanii Ditto ‘Nabembea’ ambapo amesema kuwa ni wimbo bora na utaishi miaka mingi kwenye game ya Bongofleva..

AY ambaye amepost kwenye ukurasa wake wa Twitter kwa kuandika hivi..>>>”Nimechelewa kuusikia wimbo wa Lameck Ditto ‘Nabembea’ kama na wiki kadhaa ila kiukweli ni wimbo Bora sana na utaishi miaka mingi’ – AY



Producer Luffa kafunguka “Sifanyi kazi kishikaji nipo chini ya mkataba”



“Nilipigiwa simu na mpenzi wa Ney Wa Mitego” – Nini

Chanzo: millardayo.com