Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

NANDY ASHINDA TUNZO YA MSANII BORA WA KIKE AEAUSA

Nandy Ninogeshe Audio @africanmishe.com ?fit=638%2C574 NANDY ASHINDA TUNZO YA MSANII BORA WA KIKE AEAUSA

Mon, 21 Dec 2020 Chanzo: zanzibar24.co.tz

Msanii wa muziki wa BongoFleva Nandy ametangazwa mshindi tuzo za @aeausa 2020 katika kipengele cha “Best Female Artist” akiwashinda Zahara, Yemi Alade, Tiwa Savage, Sho Madjozi ,Sha Sha, Sheebah Karungi, Rema Namakula, Aya Nakamura na Kenza Morsli aliokuwa akichuana nao kwenye Kipengele hicho.

Chanzo: zanzibar24.co.tz