Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mzee Zorro: Nimelazimika kuimba

Zorro Bnn Mzee Zorro

Sat, 16 Apr 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Licha ya kuwa kwenye wakati mgumu na machungu leo ikiwa ni siku ya mwisho ya kuagana na bintiye, aliyekuwa msanii wa Bongo Fleva, Maunda Zorro, baba yake Mzee Zahir Zorro amelazimika kumuimbia mwanawe huyo kipenzi ambaye hakuwahi kuficha namna ambavyo anampenda.

Leo Aprili 16, 2022 ndiyo siku ya kupumzishwa kwa mwili wa Maunda aliyepata ajali na kuaga dunia juzi huku Kigamboni jijini Dar.

Muziki ni sehemu ya maisha ya familia ya Mzee Zahir Zorro ambayo pia ina Banana Zorro; siku zote mzee huyo alieleza namna anavyompenda Maunda kwani aliachia akiwa mdogo baada ya mama yake kutangulia mbele ya haki.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live